Aisee mi naona niko tofauti na wewe! Dogo ni clinical finisher, madrid watu wa kumuwekea mpira ndani ya six yard box wapo wengi. Yaani mi naona pale ndo kafika. Pia angeenda Barca angefanya poa sababu watengenezaji wapo wengi.
View attachment 182000
Sidhani kama dogo atakuwa na life poa ndani ya Madrid japo wengi wamepakimbia ili wasiharibike kutokana na ushindani wa namba ila nahisi tuliyemtoa na atakayerudia level zake ni Kagawa
MANCHESTER UNITED'S NEW FORMATION...LEFT SIDED!!!
View attachment 182000
Sidhani kama dogo atakuwa na life poa ndani ya Madrid japo wengi wamepakimbia ili wasiharibike kutokana na ushindani wa namba ila nahisi tuliyemtoa na atakayerudia level zake ni Kagawa
......hahahhhaha!
Kwa formation hii lazima wachukue mpaka kombe la dunia!!!!
mkuu utanambia huyo dogo madrid ndo itamfaa ni mmaliziaji mzuri sanaaaa na pale kuna wagawa mipira wazuri mnooooo.
Chicha ni mzuri sana alipaswa kwenda timu ambayo atacheza kila wiki Madrid kuna Isco,Jesse,CR7,Bale,Benzema,Rodriguez kumbuka Morata aliondoka sababu ya kukaa benchi
Hapa mmelamba DUME, kama ataepuka daruga za beki za EPL na akatulizwa kichwa (maana siku zote akili yake iko Madrid) basi atawaokoa na hizi kejeli za kila siku