man yu saa anapoint 1 il cjajui yuko nqfac ya ngapi now
Hakuna cha Mama Luisa van Girl wala cha Dada Angela Di Maria
Leo alikuwa Kama Angela Bibi Maria miguu mwisho ilikataa anahitaji Mafuta ya miguu ya Visiwani ZNZ wamchue inaitwa Karibu Ligi ya Uengereza! Sema Di Maria mkali Big Vs Big Team atafanya vizuri.Hakuna cha Mama Luisa van Girl wala cha Dada Angela Di Maria
Kwa lipi mpaka afukuzwe??
😛ray2:.......after christmas hiyo?....hehehe, January 2015!!!
"Mie thikochokodhi wewe!" gfsonwin, mimi nacheka na yangu tu banaa!
hata Burnley?!......hii team sawa na punda kirongwe aliyejizeekea!
........hahahahahhhahahhhaaaa!!!
Mkuu umesikia tumechukua kifaa kingine
Si unajua kabla ya j3 yule anayechezeaga mpira Tulin atakuwa yupo Carrington Training Ground
Kumbuka Rome haikujengwa kwa siku moja
........aaaaah?! maskhara hayo bana...team in Di Maria, Rooney, Mata na Van Persie halafu wana manage Only two shots on target?.......hawa BBC nao, hahahahahahahahahaaaaahhhhhhha!
Mkuu umesikia tumechukua kifaa kingine
Si unajua kabla ya j3 yule anayechezeaga mpira Tulin atakuwa yupo Carrington Training Ground
Kumbuka Rome haikujengwa kwa siku moja