Manchester United (Red Devils) | Special Thread

niwasalimieni wote katika jina lake yeye akaaye mahali pa juu palipoinuka. Niwatakieni mchezo mwema hasa mashabiki wa man u..
 
Dk ya pili Burnley wanapata free kick nje kidogo tuu ya 18
 
.....jamani habari za mchana, za jumamosi, na za wikiendi?
haya, tupo pamoja,.....😛op2:.....karibuni,😛opcorn:

Cc, EMT, Nzi, Belo.

asante sana mie nimekaribia am praying leo tucheke........
ngoja nikaribie na popcorn zangu na kahawa kabisaaa
 
Reactions: Mbu
ha ha ha ha kufungwa pale pale tu

....Mwenyezi Mungu atawanusuru, 'Why Always them?"
😛op2:....kabumbu limetulia,.....Di Maria, Van Persie, Mata, Rooney...duhh!?
Majina makubwa makubwa!
 
asante sana mie nimekaribia am praying leo tucheke........
ngoja nikaribie na popcorn zangu na kahawa kabisaaa

mnh, popcorn na kahawa? Kahawa yake kashata bibie...anyway,
taratibu isijekumwagikia ukaharibu gauni lako zuri mwenyewe...
halafu umenikumbusha,....
ngoja nikachungulie kule kwa wachumba leo ume post nini....
:rapture:
 
22

Burnley 0 - 0 Manchester United

*****

Wacha waseme kuhusu pesa ya Di Maria ila thamani yake inaonekana
 
mnh, popcorn na kahawa? Kahawa yake kashata bibie...anyway,
taratibu isijekumwagikia ukaharibu gauni lako zuri mwenyewe...
halafu umenikumbusha,....
ngoja nikachungulie kule kwa wachumba leo ume post nini....
:rapture:

weee hujui tu tena ukipata popcorn za asali utafurah mwenyewe,
jaribun siku moja na kapuchino uone.
 
Reactions: Mbu
Uhakika wa ushindi upo RVP, WAZA, DE MARIA NA MATA lazima 2wauwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…