Sielewi kitu hapa . Mshikaji kama unaamini au kuona ushabiki wako kwa Man United umekuwa tested basi wewe hufai kuwa mshabiki wa hiyo timu maybe wewe ni mmoja ya wale mliofuata Man United sababu ina mafanikio. Naamini shabiki wa kweli hawezi kkuwa tested, ukiipenda timu unaipenda hata ikiwa ktk hali mbaya kivipi unaonyesha una mashaka na upenzi wako kwa Manchester United..ni maono yangu
Mata still ataendelea kucheza namba 10,since LVG amekuja ndio anacheza hapo na kocha anamkubali ukilinganisha na Kagawa,Januzaj.Di Maria ni mzuri kwenye winga but baada ya kuja Bale na kuumia Khedira alicheza kiungo(Alonso,Mondric,Di Maria) so huenda wakacheza ( Herera,Di Maria,Carick),ujio wa Di Maria una impact kwa Januzaj
Utaizoea tu mkuu subiri kwanza na Burnley na wao wafanye yao.
So #UtazoeaTu wala hata usijali.
Miaka yangu 28 ya kuwa Manchester united die hard fan sasa nimekuwa tested ushabiki wangu, mpaka hapa sijiliwe what is really going on mbona tulicheza vizuri pre-season mbona hilo shimo kubwa between mabeki wa nyuma na viungo lilikua halionekani kama sasa, we are very exposed sana tunapopoteza mpira, we are very predictable the way tunavyocheza, kweli wachezaji wengi ni kiwango kidogo lakini sitaki kuamini na sitakaa kuamini ni kwa level hii ya humiliation.
Jamani nisaidieni what is really going on...timu yangu inashida gani..I am shocked WTF:angry:
Kuna mahali nilisoma kuwa ujio wa Di Maria ni hatari kwa Mata. Valencia anajihakikishia namba kwa uwezo wake wa ku track back na mbele haraka. Di Maria naye vivyo hivyo...Mata atacheza nyuma ya nani n yeye hajui kukaba? Labda awe striker!
Juan emanuel mata anacheza kama attacking midfielder akipitia kati kati ya uwanja
valencia, young, di maria wanatumia wings katka kufanya mashambulizi
Dawa ni kusajili john bomo sijui kwa ni i man utd hawaoni hili? Toa van persie weka john boko...fukuza kabisa rooney weka mbuyi twite ,,
Mata still ataendelea kucheza namba 10,since LVG amekuja ndio anacheza hapo na kocha anamkubali ukilinganisha na Kagawa,Januzaj.Di Maria ni mzuri kwenye winga but baada ya kuja Bale na kuumia Khedira alicheza kiungo(Alonso,Mondric,Di Maria) so huenda wakacheza ( Herera,Di Maria,Carick),ujio wa Di Maria una impact kwa Januzaj