Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
kuikweli inatia huruma ila hii itawafanya man u mechi zilizobakia ni ushindi tuu
Amuondoe Giggs benchi ya ufundi amlete Kluivert
Poleni bhandugu!
Mkuu mpira hauchezwi jf wala interenet ni uwanjani tusijidanganye kwa wachezaji wale wanaoshndwa kuelewana uwanjani au wanacheza kama hawana mazoez itakula kwetu kama lvg hatochukuu juhudi za makusudi kuyauza magalasa na kununua vitasa vya ukweli au kubadili formation ila kwa beki zetu na mfumo wa beki tatu nyuma tutafungwa kila leo mpk babu seya anatoka jela
Jamani...hayo matokeo nimesoma vyema ama ni reverse!???
Kabaki Nzi sasa ngumi na Mbu sijui nani atashinda yangu macho ...
Jamani...hayo matokeo nimesoma vyema ama ni reverse!???
ujue nikifikiri hii no recorded!!! Nilivyozidi kutumbua mimacho nikawa siamini yanayotokea
Karibu England LvG .. huo mfumo wako hovyo.. so far record yako ni mbaya kuliko ya David Moyes: O W 1D 2L
yapo sawa sawa kabisa
manure 0
mk dons 4
Mchana niliposoma kuwa leo ni: Suzuki vs Chevrolet nilidhani ni utani kumbe hawa madogo kweli wametupia kitu cha Suzuki. It was very funny. Nahisi Chevrolet watasitisha mkataba very soon that was a humiliation kwao pia.