Kama anataka kujenga team yake auze mediocre players wote wa SAF kuanzia young, carrick, fletcher, young, anderson, cleverly
hahahahaha ............. sisi wenyewe ha2wez kujilinganisha na timu ndogo kama nyie, nyie kajilinganisheni na akina cardif coz ndio mtakua mnagombea nao FA Cup na Carling cup!.
Msijifariji kw mafanikio ambayo yalishapita kitambo!" Ni sawa na mtu ambaye alishawah kua na hela akafilisika anajifariji kw hela alizoshawahi kuwa nazo wakat njaa inamuuma tehtehteh.........
Grand PA
wewe una short memory au huna kabisa....sasa chelsea na man utd nani ana muda mrefu bila kuchukua EPL??? kwa faida yako man utd ndio walikuwa mabingwa EPL 2012/13 na chelsea mara ya mwisho ni 2010!!! hapo wala sijataja idadi ya vikombe....i mean kuanzia league cup,fa cup,champions league hamna hata kombe moja mnafikia rekodi yetu.
Habari zilizopo ni kwamba LVG ametuma maombi FA ili LA garaxy iruhusiwe kushiriki EPL, so hii ni good news to all Manure Fans.
Habari zilizopo ni kwamba LVG ametuma maombi FA ili LA garaxy iruhusiwe kushiriki EPL, so hii ni good news to all Manure Fans.
#MnyongeMnyongeniHakiYakeMpeni banaaaa.....all of the above mentioned players were EPL champs under Fergie's last game in #ManU management banaa....
Nyie si mlijifanya mnapapara mkamfukuza #TheChoosenOne kwenye transition period? #VumilieniTu , mnatakiwa muwe #Mshajizoelea Mid-table sasa.
#MosKwito !
Sita atafuatia ngoja aje achukue namba za average player ashley young na valencia
Kila kocha na formation yake ndo maana nasema SAF ameshasepa kwahyo wale wachezaji waliokuwa chini yake wasepe pia, kwasababu hawafai kwa LVG
Umemsahau fellaini na smalling ni average players wether we like it or not,wether they are english or not,wether other teams wants them or not,wanapaswa waondoke waje clasic players
Kubomoa ni rahisi kuliko kujenga....uvumilivu unahitajika....
LOUIS VAN MOYES....Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeee
Those who want new contracts hands up!
Capiten Red Cross team
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Young Diver .... .... ..
Aisee ...... ..... haya ndio wanafundishwa pale
Old trashford
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee