Hizi pumba huwa mnazitoa wapi ,kama hujui ni bora ukae kimya.Vidic hajauzwa,aliamua kuondoka mwenyewe baada ya mkataba wake kuisha na alitangaza hilo msimu uliopita wakati kocha alikuwa Moyes.Kwa hiyo Captain angekuwa De Gea au Evans ndio timu isingefungwa? Unakumbuka timu yako ya Arsenane Henry na RVP (Foward) walikuwa makapteni