Manchester United (Red Devils) | Special Thread

tumeghairi hatumuuzi nyoshi el sadaat sauti ya simba fellain hatoki mtu hapa

haya maneno kasema shabiki wa man u

#coyg
 

Kwa muda huu nampa asilimia 2% kuwa sahihi. Lakini tofauti kati ya Chelsea na Arsenal kwa sasa ni ndogo sana ukilinganisha Man utd na waliomaliza top 4.
 
Kwa hiyo unataka tufurahie timu ikifanya vibaya,Hayo mambo mmezoea kule kwenu

Ni kuisapoti timu kwa ubaya na uzuri. Naona siku hizi mnakuwepo humu mkishinda tu. Kuanzia jumamosi muwe mnakuja sio kusubiri mshinde ndo mnajitokeza.
 
Reactions: Mbu
Michael Owen alivyotoa analysis yake, nyiye goons mkamponda sana..

Sasa mnachekelea predictions za Gary kwa sababu zinakandia United..

Michael Owen ni moja wa pundits walio kinazi zaidi. Alishasema haya kabla ya msimu uliopita na tukamprove wrong.
 
Nzi angalia hii kutoka chanzo cha habari cha uhakika

Argentina left-back Marcos Rojo has handed in a transfer request to Sporting Lisbon and told the Portuguese club he wants to leave for Manchester United, Sky sources understand.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
Wayne Rooney named as Manchester United's new
captain

********
Van Gaal: "Wayne has shown a great attitude towards everything he does. I have been very impressed by his professionalism and his attitude to training and to my philosophy."

***********
Goal.com Uk
 
Reactions: Nzi
Naona Pazi atakuwa ananunua CD za Rihanna tuu kuanzia sasa
Tehtehteh nimekusoma sikumshangilia Lebron James na Miami Heat awe Huyo komwe Yule demu atakuwa sio Carribien atakuwa katoka Kenya au Tanzania ndio makomwe Yale mademu wanapotokea damu yake itakuwa Hivyo.
 
Lol Rihanna anataka kuweka dau achukuwe Anfield nzima. Chris Brown naye atakuwa njiani kubeba shares Old Trafford.
Lol Rihanna Hana uwezo wa kununuwa labda aweke share watu wengi Wana share kwenye timu nyingi Kama Jay-Z na Brooklyn au Lebron James na LFC Kama walivyosema Complex.com Kwamba Wenye LFC Hawana fikra za kuuza na hata wakiuza Rihanna Hana pesa za kununuwa LFC kwa ujumla wenyewe kuuza wanatizama dau kubwa hata Kama dogo sio hata la kumuuzia Lebron James, Rihanna ni mshabiki tu wa LFC toka zamani Kama anao uwezo wa kununuwa sio vibaya kwake kwani wapo walibeba mkopo wa Nguvu wakanunua timu kubwa England ni kitu kinawezekana pia.
 
Official: Rooney ndio capten wetu mpya wa Manchester Utd na msaidiz wake ni Darren fletcher.....
 
Reactions: Nzi
Rooney conned LVG to get the captaincy.Good choice for Man United and even better choice for Man United opponents.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…