Kwa miaka 10 iliopita. Wewe kama shabiki wa arsenal unajivunia nin???
Nadhani alimaanisha Mike Dean. Akichezesha huyu mechi yoyote ya Arsenal huwa hawashindi
Subirini muone mtasindikiza miaka mingapi... Tumeshabeba Kombe sasa hivi..
Summer sale is on at Old Trashford. ... ...
Khe khe keh keh keh kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mbona kama umepanic vile hii come back ya man United..huna amani kabisa mkuu
hakuna aliyepanic hapo mkuu. Nashangaa msimu uliopita mlikuwa mnamlaumu(hasa Nzi na Belo ndo walikuwa wanalaumu sana) SAF kwa kuacha timu mbovu, juzi juzi mmeshinda mechi kadhaa za kirafiki mmesahau kuwa timu iliyoachwa na SAF ndo hiyo hiyo mliyonayo hivi sasa tofauti ni hawa wachezaji wawili na kocha mpya tu. Kwa kifupi mmekuwa kama mtoto mdogo aliyekuwa analilia kubebwa na mama yake afu akanyamaza baada ya kupewa pipi au toy. Hivi mkishindwa msimu huu sijui mtamlaumu nani kati ya SAF, Moyes na LVG?
Cc: Belo, Nzi
Mimi ni mmoja wa mashabiki niliyekua napinga kama timu ni mbovu kiasi kile bali ubovu ulikua kwa kocha na nilipiga kelele sana humu jukwani #moyesout
Mkuu mark my words msimu huu lazima turudi kwenye top 4 position..from da body language walionesha wachezaji kwenye pre- season matches wananjaa na determination ya kurudisha heshima with da fear that LVG we never tolerate under performance from any of the player...
Mark my words rubaman