Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hongereni Man Utd kwa kupata Kocha mpya!

Tutegemee msimu mzuri wenye changamoto nyingi!

Jose Mourinho

Luis Van Gaal

Manuel Pelegrine

Wenger

Brendan Rodgers

Ktk hao makocha wote Tutegemee changamto kibao!
 
Hongereni Man Utd kwa kupata Kocha mpya!

Tutegemee msimu mzuri wenye changamoto nyingi!

Jose Mourinho

Luis Van Gaal

Manuel Pelegrine

Wenger

Brendan Rodgers

Ktk hao makocha wote Tutegemee changamto kibao!

hapa hamna jipya.
 
Been out of the 'social media' the whole day. Then, I came back and saw these:

Get a life haters a.k.a wakaanga sumu..
 
Hongereni Man Utd kwa kupata Kocha mpya!

Tutegemee msimu mzuri wenye changamoto nyingi!

Jose Mourinho

Luis Van Gaal

Manuel Pelegrine

Wenger

Brendan Rodgers

Ktk hao makocha wote Tutegemee changamto kibao!

Duh! Umemshushia heshima LVG kumweka katika list moja na kina Wenger, Pellegrini na Brenda. Hawa hawana hadhi ya kukaa kwenye platform moja na LVG aisee. Maureen sawa, kutokana na idadi ya vikombe alivyoshinda domestic na continental-wise.
 
Hongereni Man Utd kwa kupata Kocha mpya!

Tutegemee msimu mzuri wenye changamoto nyingi!

Jose Mourinho

Luis Van Gaal

Manuel Pelegrine

Wenger

Brendan Rodgers

Ktk hao makocha wote Tutegemee changamto kibao!

wenger mtoe hapo hakuna cha maana atakachofanya zaidi ya kugombania nafasi ya nne
 
Duh! Umemshushia heshima LVG kumweka katika list moja na kina Wenger, Pellegrini na Brenda. Hawa hawana hadhi ya kukaa kwenye platform moja na LVG aisee. Maureen sawa, kutokana na idadi ya vikombe alivyoshinda domestic na continental-wise.

Ninamuheshimu sn huyo Mzee! Nimeiweka hiyo orodha ingawa mtu km BR Hana sifa km za J.Moo Au LVG ata huyo Manuel Na Pia!
Ninachosema ni kwamba kutakua Na changamoto nyingi sn Na kugawana makombe! Fa itakwenda kwa mwingine, SC, Na BPL.
 
wenger mtoe hapo hakuna cha maana atakachofanya zaidi ya kugombania nafasi ya nne

Hiyo kugombania nafasi Ndio ninako kusemea Mimi! Nani atakua nje ya top four?

Maana msimu huu uliopita juzi Man Utd kakaa nje ya Top Four! Next season ni zamu ya nani? Arsenal? Liverpool? City? Au chelsea? Au Man Utd yenyewe tena? Au Spurs na Evaton zitakua ktk top four na Arsenal Na Liverpool watakua nje?

Mambo Hayo!
 
man u kukaa out of top four itakuwa ngumu tena sana,kama liver watashindwa kumzuia suarez,na u busy wa uefa basi its guaranteed kwamba liver yupo nje ya top na kama wataweza kumbakiza basi mmoja wapo kati ya liver au arsenal lazima atabaki out of top four.
 
Thx Mkuu! Those are are challenges which we are going to see for the next season!
 
hivi bado mnaugulia maumivu tu?teh teh

teh teh teh we nawe umetokea wapi na unaona cha maana gani ambacho wenger atakifanya zaidi ya kuendeleza philosophy zake zilezile na pia kuwaamini makinda wake akina sanogo na kumtegemea giroud as a main striker
 
Pamoja na kutegemea makinda wake na huyo giroud bt arsenal haijawahi ishi mtaa mmoja na marijani rajabu..(7),ila manure pamoja na 'word'crash player whtney rooney,roby van pussy,matak,michelle carick,na nyoshi el sadat wametoka empty!!polen mana mumetangaza hasara kubwa kwa kushndw kushrk hta europa,nyinyi ni wa kupigana vikumbo na kina westbromwich
 
hasara gani wametangaza??

Na tusubiri tuone kama yatatokea na je vipi utafanakiwa kubanduka 7th place? yote haya majibu tutayapata next season.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…