Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
pamoja sana mkuu,tutakutana wakati wa world cup.......Coming to the end of the EPL season,
will miss you guys,.....
Muwe na mapumziko mema mpaka tutapokutana tena kwenye banters za transfers,
pre-seasons na New 2014/2015 EPL season.
Thanks for the fun kamanda Nzi, Belo, Mndengereko, mfarisayo et al...
tukutane tena siku si nyingi zijazo, #MwenyeziMunguAkipenda ,
Amen.
bidding war hio ndio inapandisha bei...mchezaji akishagombewa na timu kubwa zaidi ya moja bei inapanda hata akitoka portugal,greece....huyu dogo man utd,chelsea,liverpool wote wanamtaka.
hiyo iko obviously just because they are overated.Lakin generally most of english players are overpriced
this time next yeear uje na kauli hii hiiCongratulation to Manchester united for finishing ELIMU YA SHULE YA MSINGI. JOB WELL DONE!!!!
hiyo iko obviously just because they are overated.
Mndengereko, prondo, Bulldog, DonDonald and Skype
I am honored to cheer this lovely club beside you guys..haijalishi tumepata results zipi this season but let's stay united as usual...and believe me we will be back..and we will be back stronger than ever..
Glory Glory Man united
vipi kuhusu fellaini aliyenuniwa pound m 27 na sio muingereza?Mbona hela nyingi sana? Wachezaji wa kingereza ni over inflated sana yani
bidding war hio ndio inapandisha bei...mchezaji akishagombewa na timu kubwa zaidi ya moja bei inapanda hata akitoka portugal,greece....huyu dogo man utd,chelsea,liverpool wote wanamtaka.
Nope!!!
Sidhani kama kuna team nyingne ambayo ilionyesha interest kubwa kwa Luke Shaw!!!
Manure mpo so desperate ndo maana, agents na hizi clubs zingne wanatumia nafasi hiyo kuwapiga Hela, Mfano ni kipindi kile Liverpool kwa Andy Caroll..
Seriously!!!..hata Man City au Chelsea wasingetoa £27mill kwa Luke shaw..He's just average!!
Ndugu zetu naona mmepagawa saaana..
How can you Bid £27million kwa mchezaji kama Luke shaw???
Yale yale ya Fellain!!!!
Kupigwa kunaendelea!!!!
Damn!!
Hakuna Football bila pesa siku hizi otherwise utaendelea kuwa msindikizaji,Man United ni klabu kubwa na ina hela ya kununua wachezaji nashangaa hizo pauni mil 27 unaziona nyingi,labda kwa Liverpool zinaweza kuonekana nyingi
Kumbuka miaka 10 iliyopita United walimnunua Rooney pauni 29 now kila mtu anajua kazi ya Rooney,sijamuangalia sana Shaw but kwa umri wake ameweza kucheza kikosi cha kwanza msimu wote,i hope anaweza cheza misimu 15.United walianza kutafuta left back tangu msimu uliopita Baines alikuwa ndio option Everton wakapanda dau so how kuspend 20 mil kwa mchezaji mwenye miaka 28 while unaweza pata mwenye miaka 18 kwa mil 27
Thats Dail mail dude..
nmepost my comment hapa bcoz skysport ndo wamereport kuhusu hiyo Bid!!!
kama Daily mail, mirror au metro, wangekuwa wakwanza kuandika kuhusu hiyo bid..wala nisingecomment kitu hapa!!!
So bcoz, ni Dailry mail, unaamini kuwa Man city wana strong interest na Messi???
Au Juzikat Metro walivyoreport kuwa Madrid, chelsea, Man city na Manchester united wote wana interest na Suarez!!!!!..of all the clubs ou there, Manure iwe na interest na Mchezaj wa Liverpool???..haziuziani wachezaji!!!
The point hapa ni kwamba, zaidi ya Manure, hakuna any other big club iliyopeleka inquiries kuhusu Upatikanaji wa Luke shaw pale southampton!
#Fact .
£27million ni HELA kubwa sana kwa mchezaji aina ya Luke shaw!!!
Henderson,Downing,Carol mliwanunua bei gani?
Kwa Liverpool inaweza kuwa kubwa sana but sio Man United.Umesikia Rodgers anamtaka Lalana kwa pauni mil 20 na hiyo ni ndogo?
Chelsea walikuwa wanamtaka Shaw na dogo ni mshabiki Chelsea,alitoa masharti lazima ahakikishiwe namba ndio ugumu ukatokea.Kama unamtaka mchezaji huna haja ya kusubiri kuona timu gani inamtaka hicho ndio kimewaponza Liverpool mkawakosa Mikhitarian na Salah
Henderson,Downing,Carol mliwanunua bei gani?
Kwa Liverpool inaweza kuwa kubwa sana but sio Man United.Umesikia Rodgers anamtaka Lalana kwa pauni mil 20 na hiyo ni ndogo?
Na mimi ndo nashangaa, inakuwaje Mchezaji aina ya Lallana auzwe £20mill na Luke Shaw auzwe £27mill..ni sawasawa umuuze Oscar 20mill afu ivanovic ukamuuze 27million!!!!