Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Giggs on Kipaza sauti...anatoa nasaha zake!! Kuwaaga wenzake akina Vidic
 
Giggs ni mweusi wa Kwanza kufundisha(japo kwa muda) Manchester United sio? Ince atachukuwa kiti permanently january.
 
We need to give them chance to come back...thank u..Giggs
 
Bado yupo katika payroll mkoponi Birmingham City. England kama kawaida yenu mtatolewa second round, Marekani hadi robo fainali mwaka huu.

In Wilson we Trust {England} lol, USA wamekuwa wanyela mwaka huu, mpo kundi na nani?
 
Mechi inayofuatia ya Man Utd Old Traford Kocha atakuwa ni Mholanzi.
 
Wenger nae hawezi kutuangusha...kwanza karibu wagonjwa wote wamerudi kundini...kiufupi tupo "safi"...FA for Gunners 2013-2014 Title. COYG

Hata mlipocheza na Birmingham City kwenye final "wagonjwa/flops" wenu walikuwa wamerudi kundini ila unakumbuka kilichotokea
 
Wenger nae hawezi kutuangusha...kwanza karibu wagonjwa wote wamerudi kundini...kiufupi tupo "safi"...FA for Gunners 2013-2014 Title. COYG

kashawaangusha miaka 9 sasa!!! hata kwa birmingham carling cup aliwaangusha........
 
farewell....goodbye VIDA


dream debut


ouch!


dream start..


good boy
 
hongera sana majirani teamdamuchanga fukuza mizee wewe giggs..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…