Manchester United (Red Devils) | Special Thread

I will see you Manchester UTD fans in UCL qualification playoffs in september. And I hope you will make it to the group stage
 

giggs aliuua game mwenyewe kwa kumtoa mata nje anyway hatumlaumu/simlaumu coz hana experience wala wachezaji hawana cha kukipigania tunakamilisha raatiba tu
 
Hahahahaha utabiri wako huwa ni wa kweli, mndengereko. Utakuwa uliachiwa kizizi na Kinjekitile Ngware.
hahah naona msioipendea mema man u na wenzako wamelike post yako duh,we have nothing left to fight for this season ndomaana unaona hatujali kitu
 
hahah naona msioipendea mema man u na wenzako wamelike post yako duh,we have nothing left to fight for this season ndomaana unaona hatujali kitu

Kwani mlipomfunga Norwich 4-0 ndani ya Record breaking Theatre mlikuwa mnagombania nini, Imekuwaje leo iwe hamna lolote la kugombania baada ya kufungwa home?
 
Kwani mlipomfunga Norwich 4-0 ndani ya Record breaking Theatre mlikuwa mnagombania nini, Imekuwaje leo iwe hamna lolote la kugombania baada ya kufungwa home?

pointi ya msingi mechi ile ya norwich giggs alipanga watu sahihi katika muda sahihi ila mechi ya juzi alichemka kidogo kwenye sub ndo maana game tukapoteza by the way hakuna anaemlaumu coz hana managerial experience.
 
Tunaomba usajili wa maana msimu ujao vinginevyo hii timu ata akipewa kocha wa aina gani hatuendi popote.
 
msimu uishe..tusajili
halafu moto wetu unarudi..wenyewe mnaifaham man United

We know it for brown envelopes chio kabumbu khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Walikuwepo kina Eqlpzzzzzzzzzzzzy, bila kumsahau Manda, Idimi et al wote wamesepa chacha na hali ni ngumu sana chubirini wachezaji wanaopenda kucheze mechi za alihamisi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wacha1 usijali...utawacha haya maneno yako..na uta salute kwa man United
 
Last edited by a moderator:


Out of contract ... ... out of money .. ... ... . .




Bora huyu kakimbilia Florida khe khe kheeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…