Wakaanga sumu kasageni vyupa mle...
Pili....Giggs kaamua kuwachezesha vizee vya zamani akina Ferdinand tena dk zote 90...na kwakuwa leo wameshinda basi atafanya hivyo in the next 2 remaining games..sasa hivi vizee akina Evra havitaweza speed na mwendokasi wa vijana wa sasa hasa Sunderland na Southampton..
I smell...msiba mwingine unakuja hapa very soon!! Take my words..!! Nzi n' all
Timu leo imekuwa na more shots on target kuliko game yoyote msimu huu...
Hata pressing ya mpira ilikuwa tofauti sana leo..
Kitu kimoja ambacho nimefurahi ni zile subs za Giggs za kuonyesha kutoridhika na idadi ya magoli....goli 3-0, lakini anaingizwa Hernandez...hiyo inaonyesha jinsi gani alivyopanga kutolinda magoli, kitu ambacho DM alishindwa kwa kweli...

Everton walikuwa ugenini arifu....sasa mkiwa nafasi ya nne (kama kawaida yenu), ndiyo kiashiria cha kusema Professor Doctor Economist Manager French Arsene Wenger atastahili kupewa mkataba mupya?
Timu leo imekuwa na more shots on target kuliko game yoyote msimu huu...
Hata pressing ya mpira ilikuwa tofauti sana leo..
Kitu kimoja ambacho nimefurahi ni zile subs za Giggs za kuonyesha kutoridhika na idadi ya magoli....goli 3-0, lakini anaingizwa Hernandez...hiyo inaonyesha jinsi gani alivyopanga kutolinda magoli, kitu ambacho DM alishindwa kwa kweli...
Natamani Van Gaal akija Giggsy and Roy Keane wawe wasaidizi wake.
Sasa Giggs apewe mkataba wa miaka 6 kama ule wa Moyes.
Tetesi ni kuwa atakuja na Kluivert...
Ila ni muhimu 'Class of 92' wawepo aisee...