Lol kama kawaida yenu mnaanza kuhesabu vifaranga kabla mayai hayajatotolewa. Eti Ozil ni flop hahaha , subirini msimu ujao muone itakavyokuwa ndo mseme. SAF na ujanja wake aliuziwa muuza karanga kariakoo ya Portugal ndani ndani akadhani kapata next CR7.
Mkuu kama Giggs akipewa mechi 10 mtakuwa mnagombania kuwa top 10, jamaa hana experience ya ukocha msitegemee mengi.