Sawa bossLeo ushindi ni lazima
Mnapigwa miti tu huko 😃😃😃Hizi aibu ndogo ndogo inabidi tuziepuke, haiwezekani Leo tupigwe tuende International break tukiwa wa pili kutoka mwisho, Yaani tuwe wabeba mizigo ya wote...Hawa Jamaa wakifungwa Leo itakuwa hawapo serious na maisha kabisa...
Chuma ya pili tayari hukoLeo ushindi ni lazima
Umeshakula vyuma viwiliLeo ushindi ni lazima
Sawa boss
Chuma ya pili tayari huko
Umeshakula vyuma viwili
Tayari mapema sanaaaa 😀😀Over 2.5 wazee nipate hela ya balimi