Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa wale mnaojua mpira kidogo,ivi hawa man u wana shida gani? Kama ni hela wanayo,sasa ni nini kinawasumbua
Hawamsajili wachezaji sahihi kwa Bei sahihi ndio maana wanapigwa hela ndefu kwa wachezaji wa kawaida we imagine unatoa pound mil 75 kwa Sesko halafu anakula mkeka kwa man u hii mbovu
 
Ronaldo aliwahi kusema lakini watu wakampuuza wakasema jamaa ana ego.

Haya kaja na Lesando Martinez karudia yale yale, tunaona aibu mpaka sasa hatujui tutaenda na hii hali hadi lini.

Kwasababu nacho kiona sasa hata ile nidhamu kwa wapinzani imetoweka ni kama kila mtu anapiga hesabu za kuvuna alama kutoka kwetu.
 
Timu anazoshabiakia bwana Scars 🀣🀣🀣
View attachment 3695667
Kuna hoja ilianzishwa nikawa naichukulia simple ila now imeanza kunitafakarisha

Kwanini siku ambayo Man United na Simba zinacheza lazima siku hiyo timu moja kati ya hizo itapoteza?

Sasa na leo kaongezea na Madrid sijui itakuwaje na dakika ndio 15 na vitoto vimekaza
 
Man U inachekesha kama sio team yako 🀣🀣🀣🀣
Scars jana uliniumiza sana kwa posts zako, Barca tulivyokalishwa.

Gudubai
Aloo wewe ni shabiki wa Barcelona??

Mbona kama kwenye goat debate wewe uko kwa Ronaldo.

Imekuwaje tena ukashabikia Barcelona?
Your browser is not able to display this video.
 
Kama vipi Fergie arudi tu...inafika kipindi hata tukiulizwa matatizo ya timu yetu hatujui tunaanza kwa nani,mara Baleba aje sijui cunha acheze tisa...

Tumsajili sesko ndo hao wakaa benchi yani timu halieleweki, mbaya zaidi kipindi chenyewe hiki mtu pekee tunayeweza mpa lawama na kumbadilisha ni carrick nayo haisaidii kitu.
 
Faida ya kusajili wachezaji wa maana inafanya hata kocha anaekuja asitumie nguvu kubwa kuwin Mataji ndicho sisi Chelsea kimetusaidia tunaweza kuwa na msimu mbovu lakini haiwezi kupita misimu miwili bila kuwin Mataji kipindi Mourinho yupo na msimu wake watatu ambao alifanya vibaya tulishika nafasi ya 14 ya Ligi wachezaji walikuwa na migomo alivyokuja Conte kakuta team ina Hazard, Diego Costa,Nemanja Matic, Oscar, Fabregas,Willian n.k yeye akasajili wachezaji wawili tu Marcos Alonso na Kante team ikabeba ubingwa.Sasa ukiangalia Man u ina maeneo mengi mno karibia team nzima inabidi kifanywe maboresho ndicho ambacho kocha ajae ataupata kwasababu mna magarasa wengi mno na mbaya zaidi hawahuziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…