Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuicheka man u, unapata dhambi ni kama vile kumcheka kiwete ama mgonjwa wa ngoma..
Tuwakumbuke katila sala zetu 🤣😂
 
Mashabiki walidai wakianza msimu na Carrick wananyanyua ndoo.

Hata mechi 10 hazijachezwa wachezaji wanaongea hovyo kwenye media.
 
hee team wakitaka mafanikio wasimpe kocha mkataba wa kudumu kocha akipewa kaz ya muda team inafanya vizuri hadi mashabiki wao wanaanza kutulana wengine ila kocha akipewa tu mkataba akaanza nayo msimu kwishaaa 😂😂😂
 
Mashabiki walidai wakianza msimu na Carrick wananyanyua ndoo.

Hata mechi 10 hazijachezwa wachezaji wanaongea hovyo kwenye media.
Fergie aliwaharibu hawa jamaa. Bado wanajua mafanikio ni kitu rahisi.

Wanatakiwa wawekeze kweli kweli.
Mimi nahesabu tu kama walivonihesabia.
Ni miaka 13 sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…