fuentte JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 3,513 Reaction score 10,175 Yesterday at 7:09 PM #209,821 Hii timu bado ipo tu!
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,967 Reaction score 79,032 Yesterday at 7:30 PM #209,822 Selikavu said: Sasa mlimchukua aje kuwa sub😃 Click to expand... Timu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja. Mfano sisi unaweza kumtoa Calafiori akaingia Hincapie, nyinyi mkimtoa Shaw nani anaingia?
Selikavu said: Sasa mlimchukua aje kuwa sub😃 Click to expand... Timu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja. Mfano sisi unaweza kumtoa Calafiori akaingia Hincapie, nyinyi mkimtoa Shaw nani anaingia?
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 15,441 Reaction score 34,552 Yesterday at 8:21 PM #209,823 Castr said: Timu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja. Mfano sisi unaweza kumtoa Calafiori akaingia Hincapie, nyinyi mkimtoa Shaw nani anaingia? Click to expand... Patrick Udorgu😃😃
Castr said: Timu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja. Mfano sisi unaweza kumtoa Calafiori akaingia Hincapie, nyinyi mkimtoa Shaw nani anaingia? Click to expand... Patrick Udorgu😃😃
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 15,441 Reaction score 34,552 Yesterday at 8:23 PM #209,824 Castr said: Timu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja. Mfano sisi unaweza kumtoa Calafiori akaingia Hincapie, nyinyi mkimtoa Shaw nani anaingia? Click to expand... Kikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master Unai Hapo sijamzungumzia Nottingham bado😃
Castr said: Timu inayopambania ubingwa siyo ajabu kuwa na wachezaji wanaokaribiana uwezo kwenye nafasi moja. Mfano sisi unaweza kumtoa Calafiori akaingia Hincapie, nyinyi mkimtoa Shaw nani anaingia? Click to expand... Kikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master Unai Hapo sijamzungumzia Nottingham bado😃
Palac JF-Expert Member Joined Mar 29, 2025 Posts 3,450 Reaction score 9,180 Yesterday at 8:25 PM #209,825 Selikavu said: Kikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master Unai Hapo sijamzungumzia Nottingham bado😃 Click to expand... Usitufokee red stars
Selikavu said: Kikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master Unai Hapo sijamzungumzia Nottingham bado😃 Click to expand... Usitufokee red stars
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 38,967 Reaction score 79,032 Yesterday at 10:11 PM #209,826 Selikavu said: Kikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master Unai Hapo sijamzungumzia Nottingham bado😃 Click to expand... Hivi mpo uefa?
Selikavu said: Kikosi kipaana mnacho cha kushinda UEFA mjitaid basi wakuu Aston villa kawaacha kabisa hapo master Unai Hapo sijamzungumzia Nottingham bado😃 Click to expand... Hivi mpo uefa?
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 15,441 Reaction score 34,552 Yesterday at 10:36 PM #209,827 Castr said: Hivi mpo uefa? Click to expand... Eeh tupo na campaign ya point moja kwa game next stop ni madrid
Castr said: Hivi mpo uefa? Click to expand... Eeh tupo na campaign ya point moja kwa game next stop ni madrid