Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata mimi niliyepo huku Tanganyika niliona Carrick hafai toka mwanzo, lakini watu wapo hapohapo Manchester United Football Club, Sir Matt Busby Way, Old Trafford, Manchester, M16 0RA, United Kingdom na wakampa kandarasi! 🙃
 
Bila kujali ubora wa kocha ila ukweli hamna wachezaji wamaana na hata Saini mlizofanya ni mbovu mmetoa pound 50 kwa Santos mkaa benchi mpaka leo mnaamini kwa Rashford ambaye ameshashindwa sijui Maguire,, Leandro Martinez,Yoro wote hawa ni average players mechi moja unatesa wow! mechi zingine unawakataa.saini nyingine ya kawaida ni Benjamin Sesko pale hamna mchezaji na ndio maana makocha hawamkubali.
 
Sikujua km huyu Carrick ni bumunda hivi😁😁😁

lipo kwenye touchline linazubaa tu😬

Manchester United wamchukue yule mzee wa Bilbao Ernest valverde anautulivu na anajenga timu uku performance ya uwanjani haishuki sio yule muhuni conte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…