🤣🤣🤣 Oyaaaa mwanangu Masingeli hebu niambie wachezaji wangapi wa Arsenyau wanaweza kuingia kwenye kikosi cha Brighton?Nilisema ni wachezaji watatu tu wa Manjesta ndio wanaweza kuingia kikosi cha Brighton
hii timu ndio tunaambiwa na kina Flano itapiga watu 5, itabeba EPL na UCL
Mpaka sasa hatujafika hata October Wana uhakika na kombe la FA tu nalo sababu halijaanza kuchezwa
View attachment 3672722
Nitag akijibu.🤣🤣🤣 Oyaaaa mwanangu Masingeli hebu niambie wachezaji wangapi wa Arsenyau wanaweza kuingia kwenye kikosi cha Brighton?
Hiyo ni sawa na kunyewa na kunguru🤣🤣🤣 Oyaaaa mwanangu Masingeli hebu niambie wachezaji wangapi wa Arsenyau wanaweza kuingia kwenye kikosi cha Brighton?
🤣🤣🤣 Wazee wa kunyewa na kunguru msimu huu mtanyewa sana.Hiyo ni sawa na kunyewa na kunguru
Bingwa atafungwa mechi 3 ,moja wapo ni hiyo tu
Hiyo ni sawa na kunyewa na kunguru
Bingwa atafungwa mechi 3 ,moja wapo ni hiyo tu
Hujui mpira mkuu kaa kimya. Sijaona analysis ya maana uliyoifanya. Huyu Rashford wako umemuona amechangia nini kwenye timu tangu aje?Sesko kaanzia bench tangu anasajiliwa. Kwa Carrick ndiyo anapata minutes za kuanza
Unaongelea timu ambayo ilikua inacheza mechi moja kwa siku 9. Ikawa inacheza counter zaidi na assists za set pieces za kapteni wenu. Huo mfumo wa Amorim ndiyo Brighton wamekupiga nao, ndiyo Milan unawaweka mjini Italy na sasa mnamtaka Conte, muumini wa mfumo huohuo. Punguza hasira dogo.
Hakuna sehemu nimeongelea usajili. Mimi nimesema timu yenu mbovu.
Hujui kitu wewe. Hakuna cha mgomo kisa Rashford wala nini, timu ilitembelea kupumzika muda mrefu na upepo wa Amorim kwenye utimamu wa kimwili.
Juzi zimekuja takwimu zinaonyesha mpo nyuma kwenye ground coverage, nyuma kwenye kukimbia na Tielemans anasema mazoezi ya Villa ni magumu kuliko hapo united.
Wewe shabiki unasema tatizo ni Rashford
Hii ni weak reason sababu hayo mashindano yenyewe ndio kwanza yapo mwanzo na wachezaji wametoka pre season.Lazima pia ujue msimu uliopita ni kwa sababu mlikuwa hamshiriki mashindano yoyote ya Ulaya kwahiyo nguvu kubwa mkawekeza kwenye ligi ndio maana mkafanikiwa kuingia big 4 Sasa hivi mnamashindano mengi, depth ya squad ni ndogo, Bruno Fernandes kachoka katumika sana World cup pia na umri unachangia na huyu akiwa kwenye ubora na Man u inakuwa kwenye ubora. Unaweza kutetea lakini Usajili mlioufanya sio wa kuimprove kikosi wachezaji mliowaleta ni wa kawaida na baadhi ya maeneo mmeshindwa kuleta kabisa watu kama LB, RB na Striker mmoja.
Huyu jamaa sijui ni ile Obe sijui mbe aliyo pewa na malkia hamna kitu kabisaNapata Sababu Milioni kwanini Barca hawakumtaka Rashford.
Nashangaa Kwanini Carrick anamng'ang'ania
Huyu Rashford aliwaondoa makocha wengi sana alikuwa yeye, Martial na Pogba sasa naona anaenda kumuondoa Carrick. Amorim alifanya kazi nzuri sana Carrick anarudia makosa ya Solksher.Napata Sababu Milioni kwanini Barca hawakumtaka Rashford.
Nashangaa Kwanini Carrick anamng'ang'ania
Tulia.Hujui mpira mkuu kaa kimya. Sijaona analysis ya maana uliyoifanya. Huyu Rashford wako umemuona amechangia nini kwenye timu tangu aje?
Mna magarasa wengi sana kwenye team yenu wachezaji pale ni Bruno labda na MbeumoNapata Sababu Milioni kwanini Barca hawakumtaka Rashford.
Nashangaa Kwanini Carrick anamng'ang'ania
Mimi nimezungumza overall msimu wenu utakavyokuwa au ulikuwa ujui unajadili Nini?Hii ni weak reason sababu hayo mashindano yenyewe ndio kwanza yapo mwanzo na wachezaji wametoka pre season.
Ulijuaje mkuu?Wazee wa point 4 mechi 4
Leo sare Tena points 5 mechi 5