Hakika mkuu, nitashangaa sana kama Manchester united wataingia sokoni kumtafuta kocha mwingine.Exactly huyu Carrick anaendelea kujifunza taratibu, Makosa lazima afanye hakuna namna, kinachohitajika ni kumpa wachezaji wenye profile sahihi na sio kumrundikia mizigo isiyoeleweka...
Tatizo linalokuja INEOS wanampa mzigo wote Carrick wakitegemea maajabu wakati mpira hauko hivyo sasa hivi, ili ushindane lazima uwe na jicho la kuona vipaji na kibunda kiwe mfuko wa shati...
Kevin Masagara😂View attachment 3669955Tayari huku . . .
MasagarView attachment 3669955Tayari huku . . .
Mungu huwa anaona mbona red alitakiwa kupewa man u ila wamekionaMa referee wa uingereza hawatoweza fika level za akina Clement Turpin kwa ujinga huu.
View attachment 3670177
Huyu Berrada naye sioni kitu alichokifanya hadi sasa, pale City alikuwa anatembelea upepo wa Guardiola tu.INEOS hawajui wanachokitaka, Yani wanategemea Carrick awavushe wakati Carrick naye anajifunza kazi so inabidi apewe muda kidogo sasa unapoleta profile za wachezaji wasioeleweka kazi ndio inakuwa ngumu Sana, ni kweli Kocha ana Makosa Yake but makocha wataendelea kutolewa kafara Hadi lini wakati management ipo ipo Tu, Management lazima iwe very clear na sio kutoa matuamini hewa....