Beki zile Tia maji Tia maji...Maguire kuna wakati anakuja anakataa, Shaw ni kama karoga vile na hata hivyo yeye ndio ana afadhali, Yule Dorgu physically Yuko fiti ila kuna maamuzi anaweza kufanya kama vile Hana Ubongo, Lisandro Martinez ni Beki mzuri hasa akiwa na mpira mguuni, Yaani Kwa EPL hakuna Beki yyte anayemfikia huyu Jamaa Kwa kupiga progressive passes na zinazovunja mistari na hapo hachezi possession football based team, shida Majeruhi...