Numbers don't lie.
Kamwe huwezi kuilinganisha Arsenal na ManU hata siku moja. Ni sawa na kuilinganisha Toyota Vitz v/s Mercedes Benz.
Again, numbers don't lie. Huitendei haki ManU ukijaribu kuilinganisha na Arsenal. Arsenal is a small club compared to ManU in every aspect kuanzia financially na hata number of championships in every tournament.
Mpinzani wako mkuu ni Totenham kule kwenye London Derby!
i knew mechi ya everton ingechochhea sana kutimuliwa kwa moyes thats y jana nilikuwa against na man u fans wenzangu nilikuwa naomba tufungwe ili atimuliwe mapema sana, so far he has overstayed stupid one
Una record gani ambayo unamshinda ManU? UEFA Champions league? FA? EPL?Now you are coming to your senses isn't it? Baada ya kushindwa hoja, naona unaanza kurukaruka tu kama kunguru. Are you going to change the name again? Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Numbers don't lie.
Kamwe huwezi kuilinganisha Arsenal na ManU hata siku moja. Ni sawa na kuilinganisha Toyota Vitz v/s Mercedes Benz.
Again, numbers don't lie. Huitendei haki ManU ukijaribu kuilinganisha na Arsenal. Arsenal is a small club compared to ManU in every aspect kuanzia financially na hata number of championships in every tournament.
Mpinzani wako mkuu ni Totenham kule kwenye London Derby!
Numbers don't lie........aaaaahhhahhhahhaaha!!!!
Usibadili mazungumzo,.....
Numbers? What Numbers?....
View attachment 152952
#Wanamuonea baba Lauren!!!
#MosKwito !
Men lie.
Men lie.
Women lie.
People tell stories.
Fans like you are carried out by illusions.
But numbers don't lie.........................................................Arsenal is a small club compared to ManU.......that's a fact based on numbers and not illusions or lies
Kama ni kutengeneza mpunga basi kaishabikie ANZHI MUCHACHKALA ambako kuna pesa za kumwaga na owner ni tajiri kuliko tajiri wa ArsenalSo what? .... ... .... .. Kipimo kwa wewe. Wenzio wanatengeneza mpunga wewe unapiga porojo, Hiyo FA cup ina heshima kuliko hicho kikombe cha sadakarawe. Hebu angalia historia kwanza kabla ya kuja na ----- wako hiyo CL ina miaka mingapi kushindaniwa?
Nani wanatajwa kumrithi huyu DM?
i knew mechi ya everton ingechochhea sana kutimuliwa kwa moyes thats y jana nilikuwa against na man u fans wenzangu nilikuwa naomba tufungwe ili atimuliwe mapema sana, so far he has overstayed stupid one
........aaaaahhhahhhahhaaha!!!!
Usibadili mazungumzo,.....
Numbers? What Numbers?....
View attachment 152952
#Wanamuonea baba Lauren!!!
#MosKwito !
Moyes kafukuzwa Roy Keane kachukuwa nafasi. Manchester Utd wameamua kuendeleza tradition