Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Elewa neno OUR BOYS, OUR FORWARDS, OUR FRONTLINE ni dhahiri shahiri Robin Van Magori kawakataa kabisa Arsenal richa ya kutwaa Kombe siku si nyingi 😃😃 Man U Patamu Bwana.
View attachment 3595586View attachment 3595587
Yuko sahihi. Bruno ananikumbusha sisi enzi zetu tuna Fabregas halafu washambuliaji wetu ni kina Adebayor. Bonge la mido ila mastraika wa nafasi kumi goli moja.
 
Wadau hivi Carrick kapewa timu jumla sababu ya uwezo wake, mapenzi yake kwa timu, ulejendari wake, uingereza wake au kama asante kwa kutuvusha salama au kuokoa nyuso za akina Glazers?

Maana yanaweza kurejea ya akina Sosha na tusiwe tumejifunza kutokana na makosa
 
Kwa ninavyoona uongozi umeamua kucheza kamari ili kuondoa lawama kwa fanbase

aliyekuwa anatakiwa mjeruman neglesman amefanya pre contract in anything can happen
 
Time will tell na hivi tunacheza hadi UEFA msimu ujao.
 
Solksher hakuwa kocha mbaya kwa utd alifit vizuri tu kilichomponza ni kuwakumbatia wavivu kama Pogba, Rashford, Sancho na Martial alishindwa kusoma alama za nyakati hii ilileta mgawanyiko kwenye timu. Ni kocha mjinga tu ndio anaweza kumuweka Cavan bench akamuanzisha Martial. Hili kwa Carick sijaliona kosa atakalo lifanya ni kumrudisha Rashford.
 
Ila jamani amorin kuna kitu amekifanya, hata Carrick ameivusha timu kutokana na kuundo wa amorin.

Kwanza kuwaondoa wavivu na kuleta wapiganaji. Carrick anapaswa ajue anatembelea muundo wa amorin..kosa lake amorin kungangania mfumo mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…