Sema United Wana jeuri Sana, Eti wanasema kuwa:
Binadamu wote walizaliwa wakiwa mashabiki wa Manchester United lakini baada ya kuanza kutumia madawa ya kulevya, pombe Kali, kamari na Aina nyingine ya uchafu basi ndo wakajifanya ni mashabiki wa Chelsea, Liverpool, Man City.
Wale walioongeza na uchawi na kuroga ndo wakawa mashabiki wa Arsenal.