Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa hivi kubet game ya man u we weka GG tu subiri hela. Hata acheze na timu ya daraja la 4 lazima apate goli na yeye aruhusu goli
 
Sema Yoro mngese Sana, hata kama ni beki mdogo kiumri lakini kuna vitu basics vya kufanya, sasa Rogers kamponyoka kipuuzi tena mara mbili, huyu anazingua! Kazi kukimbiza virasta vyake kama kuku wa kideri, hajifunzi kabisa kufanya timing...Sema kuna aspects zinaimarika, toka msimu umeanza Leo matokeo kwa kiasi Fulani nimeyakubali na yale ya Arsenal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…