Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tusajili sana, dirisha dogo sajili mbili za maana, kubwa sajili sita
Kikosi bado
 
unamuonaje semenyo?..?
Super...atafaa kucheza 2 za juu lakini sio LWB au RWB.
hata yeye hataki kucheza kama RWB
Liverpool wanamtaka zaidi, me naona tupate viungo wawili Baleba na Wharton au Baleba na Eliot Anderson
 
Sajili tatu January....leta CDM, CM, RWB na kama tunataka kuwa wakubwa bila kubahatisha dirisha kubwa leta Sandro Tonali wa Newcastle ni usajili wa uhakika.
 
Super...atafaa kucheza 2 za juu lakini sio LWB au RWB.
hata yeye hataki kucheza kama RWB
Liverpool wanamtaka zaidi, me naona tupate viungo wawili Baleba na Wharton au Baleba na Eliot Anderson
𝐖𝐡𝐚𝐫𝐭𝐨𝐧 ⚖️ 𝐄𝐥𝐢𝐨𝐭 𝐀𝐧𝐝𝐞𝐫𝐬𝐨𝐧

nikifika kwenye huu uchaguzi nichukue nani 𝐍𝐀𝐂𝐇𝐎𝐊𝐀 𝐊𝐀𝐁𝐈𝐒𝐀 😶.
 
Embu Njooni muangalie Hii Talent nyingine muitizame kwa macho yenu yakinifu ya kiushabiki Damu wa Chama la Mzee Ferguson mniambie kama haitakuwa na Potential kwenye kikosi chetu.


View: https://www.instagram.com/reel/DRq5D5WDPdq/?igsh=MjY1MHFiMjl3YmFi

#𝐓𝐫𝐮𝐬𝐭𝐓𝐡𝐞𝐏𝐫𝐨𝐜𝐞𝐬𝐬𝐑𝐀🇵🇹⚙️
#𝐔𝐧𝐢𝐭𝐞𝐝𝐟𝐨𝐓𝐡𝐞𝐅𝐚𝐧𝐬🔴
#𝐌𝐔𝐅𝐂🔴🔴
#𝐆𝐆𝐌𝐔💪😎

 
Me naenda na Wharton.
 
mimi Piah ujue huyu dogo nilishamuona kitambo nikampuuzia ila baada ya muda kuna mtu humu akam Recommend nazani ni Daemushin
Dogo offensively ana sifa za amad diallo au zaidi...ni kiungo super, huyu anatufaa japo Kwa umri wake unakosa uhakika wa jinsi atakovyokuwa kwetu...

Anafaa sana.

Kwani kuna tetesi za sisi kumtaka??
 
Dogo offensively ana sifa za amad diallo au zaidi...ni kiungo super, huyu anatufaa japo Kwa umri wake unakosa uhakika wa jinsi atakovyokuwa kwetu...

Anafaa sana.

Kwani kuna tetesi za sisi kumtaka??
Yeah sema sikumbuki source husika, Tena Dogo anapiga miguu yote ana stamina pia mala moja moja anapataga nafasi Portugal U21.

Nimecheck Takwimu zake msimu Jana Kaanzia Mechi 16 kati ya 23 alizocheza na katupia Goli 10 assist 4 naona ni meanzo mzuri kwa umri wake na nafasi anayo cheza Tena hapo alikuwa 17.
 
Kesho tunachomokaje wakuu

Mimi bado naona nafasi pale juu kuna timu imetushikia
 
Atatufaa...huoni Chelsea estaveo wamemuotea na sasa ni star
 
Kesho tunachomokaje wakuu

Mimi bado naona nafasi pale juu kuna timu imetushikia
Man u project ya EPL 2028 inanipa matumaini sana na kufanya niamini process ya amorin.

Let's build the momentum they will never see us coming
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…