Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkishinda kelele ni nyingi mno, mpigwe sasa 😂 mazuri ya makocha na wachezaji yanafutika ghafla
 
Twende na Nani jamani Kati ya hawa viungo.

Angelo Stiller-Frankfurt
Elliot Anderson- N.Forest
Baleba-Brighton
Wharton-Palace

Kati ya hawa wanne kuna mmoja au wawili tunaweza kuwapata kama mambo yakikaa sawa.
 
Wakuu ndo tunaamka,,yaan hii timu itatuua na hizi raha jamani.!
Hiyo timu imeanza kuonesha viashiri vyote kuwa itarudi yule omary Kuna kitu anakipanda united taratibu taratibu mwanzo wakati tajili anatoa speech zake nilikua namchukulia poa sana ila yule mzee ana vision sana na Moja kati ya speech zake Bora zaidi ni Ile wakati wanazindua project ya uwanja mpya wa old Trafford
 
Badili jina ujiite united ya amorim
 
Moja ya ligi yenye kuheshimika duniani na yenye mchango mkubwa katika soka la dunia ni ligi ya England.
Leo nenda kacheki msimamo mzima ndio utanielewa,now man U imejipata,naiombea mafanikio zaidi na waendelee kumuamini kocha.
Have a nice weekend guys.
 
Naamini tunaelekea kuzuri sasa dalili zipo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…