Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya mechi 10 nitaanza kumjudge bwana amorin maana sioni changes zaidi ya kukamia game kubwa, Wacha tuone baada ya game 10 kama Kuna lolote labda ndo wanaelewana na wapya.
 
Next game akizingua Bora afukuzwe,,,hii project yetu sio ya kumvumilia mtu yoyote.
Wampatie kwanza midfielder mmoja ndio tuanze kumhukumu. Imagine kiungo chako kina Casemiro pumzi inakata mapema sana, Ugarte sijawahi kumuelewa na rafu zake za kipuuzi ingawa hana ubora unaostahili kuwa United, una Collyer kinda kabisa ambaye hana uzoefu halafu unaenda kupambana na mids za arsenal, liver, chelsea na city?

Mie bado nina imani na Bwana Amorin, ila apewe Baleba au kiungo mwingine wa kaliba hiyo.
 
Me Imani ninayo sana kwake, mipango kazi wake ni mzuri ndio maana dakika 20 za mwanzo timu inakuwa threat na Bora kabisa lakini inakata moto...anahitaji kiungo bila shaka, lakini kazi yake ni kutengeneza akili za wachezaji wajue kucheza mpira dakika 90+ na sio dakika 20 tu.
Hii mentality yeye ndio anajukumu la kufanya hivyo
Na pia awe anafanya rotation na kuwaweka wachezaji katika nafasi zao ili tupate kilicho Bora.
 
Nyie manyumbu hapo alirudi hadi Ronaldo na hakuna cha maana mlichofanya
Inabidi muende championship mkajiandae hata misimu mitatu ndio mrudi
 
Next game akizingua Bora afukuzwe,,,hii project yetu sio ya kumvumilia mtu yoyote.
Kocha anahitaji wachezaji ambao wapo ndani ya mfumo wake nyinyi mnashindwa kumfanyie wepesi mnategemea Nini? Lingine hamna kikosi kipana hii itawagharimu sana mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…