Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tamba sana, piga kelele uwezavyo ila hali halisi ya timu yako unaijua

Nico william anawasubiri
Acha na hali halisi kuna kitu inaitwa nyota au kismati cha makombe, kwa hali halisi ya hii timu ingekua Arsenyau ndio iko hivi hata kwenye hatua ya makundi tu msingetoboa.
Kimasihara na hiihii timu mbovu tunaenda kubeba kombe halafu Arsenyau anaendelea kua mpenzi msindikizaji, muulize HENRY14 analijua hili vizuri mno.
 
Spurs kuchukua trophy ni tusi kwa Arsenal.

Baraka zangu nazigawa kwa Athletic na Bodo
 
Punda wa arsenal walidhani tumeisha kumbe ni namna ya kuongeza ladha na hadhi ya mechi. Hebu fikiria dakika 20 za mwanzo unafunga goli 4-0, nimeamini watu wa marketing wa man utd ni genius sana sana.

Mechi ya europa imeluwa na mvuto sana kuliko ya asanali na vilema wenzao madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…