ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Apr 18, 2025 #205,921 This is united
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,969 Reaction score 5,104 Apr 18, 2025 #205,922 ARV said: This is unitedView attachment 3307771 Click to expand... Hakuna mkuu Man u imeoza, hata kama tutapita ila hii timu ni janga
ARV said: This is unitedView attachment 3307771 Click to expand... Hakuna mkuu Man u imeoza, hata kama tutapita ila hii timu ni janga
Hardlife JF-Expert Member Joined Apr 11, 2021 Posts 2,760 Reaction score 6,320 Apr 18, 2025 #205,923 Flano said: leo kwa mara ya kwanza natukana humu Khumamae tupewe kombe letu kabisa. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
Flano said: leo kwa mara ya kwanza natukana humu Khumamae tupewe kombe letu kabisa. Click to expand... 🤣🤣🤣🤣
BJB FC JF-Expert Member Joined Aug 25, 2015 Posts 2,169 Reaction score 2,487 Apr 18, 2025 #205,924 Tutawaambia nini watuu sisi
Chibike JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 4,908 Reaction score 7,556 Apr 18, 2025 #205,925 Hii inaitwa piga nikupige kumamakeh.. Unakita kisu ya kifua , Mimi nakupiga panga la shingo ...ningejua ningebet over 2.5 nitie hata laki Tano ..
Hii inaitwa piga nikupige kumamakeh.. Unakita kisu ya kifua , Mimi nakupiga panga la shingo ...ningejua ningebet over 2.5 nitie hata laki Tano ..
Flano JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,842 Reaction score 16,292 Apr 18, 2025 #205,926 mkorea said: Huko vibanda umiza Flano anataka kurusha ngumiView attachment 3307770 Click to expand... Nasema tukabidhiwe tu kombe letu kabisa kisha ndio tumalizie hizo mechi 3 zilizobaki.
mkorea said: Huko vibanda umiza Flano anataka kurusha ngumiView attachment 3307770 Click to expand... Nasema tukabidhiwe tu kombe letu kabisa kisha ndio tumalizie hizo mechi 3 zilizobaki.
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,186 Reaction score 73,985 Apr 18, 2025 #205,927 Hii mechi ilikua ni vichaa wawili wanapigana
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 8,582 Reaction score 19,226 Apr 18, 2025 #205,928 Flano said: leo kwa mara ya kwanza natukana humu Khumamae tupewe kombe letu kabisa. Click to expand... Tamba sana, piga kelele uwezavyo ila hali halisi ya timu yako unaijua Nico william anawasubiri
Flano said: leo kwa mara ya kwanza natukana humu Khumamae tupewe kombe letu kabisa. Click to expand... Tamba sana, piga kelele uwezavyo ila hali halisi ya timu yako unaijua Nico william anawasubiri
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,969 Reaction score 5,104 Apr 18, 2025 #205,929 Flano said: Nasema tukabidhiwe tu kombe letu kabisa kisha ndio tumalizie hizo mechi 3 zilizobaki. Click to expand... Hatutoboi mkuu
Flano said: Nasema tukabidhiwe tu kombe letu kabisa kisha ndio tumalizie hizo mechi 3 zilizobaki. Click to expand... Hatutoboi mkuu
Flano JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,842 Reaction score 16,292 Apr 18, 2025 #205,930 Castr said: Hii mechi ilikua ni vichaa wawili wanapigana Click to expand... kunywa maji kwanza mkuu, uzuri huu mchezo hua hauitaji hasira. Bila ya kukabidhiwa kombe letu kabisa tunagoma kumalizia hizo mechi 3 zilizo salia.
Castr said: Hii mechi ilikua ni vichaa wawili wanapigana Click to expand... kunywa maji kwanza mkuu, uzuri huu mchezo hua hauitaji hasira. Bila ya kukabidhiwa kombe letu kabisa tunagoma kumalizia hizo mechi 3 zilizo salia.
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,969 Reaction score 5,104 Apr 18, 2025 #205,931 Ila mpira bana😃😃 kule Lazio walikuwa wanaongoza kwa uhakika kabisa eti saiz wanapumulia mashine kwenye penalty
Ila mpira bana😃😃 kule Lazio walikuwa wanaongoza kwa uhakika kabisa eti saiz wanapumulia mashine kwenye penalty
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,633 Reaction score 121,022 Apr 18, 2025 #205,932 Lazio na Liverpool na laana ya nafasi ya kwanza
N Nilipe nisepe JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,182 Reaction score 2,650 Apr 18, 2025 #205,933 mkorea said: Tamba sana, piga kelele uwezavyo ila hali halisi ya timu yako unaijua Nico william anawasubiri Click to expand... Mkuu mbona una hasira sana kama mshale wa kichwa umekupiga?
mkorea said: Tamba sana, piga kelele uwezavyo ila hali halisi ya timu yako unaijua Nico william anawasubiri Click to expand... Mkuu mbona una hasira sana kama mshale wa kichwa umekupiga?
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,186 Reaction score 73,985 Apr 18, 2025 #205,934 mbwangali said: Ila mpira bana😃😃 kule Lazio walikuwa wanaongoza kwa uhakika kabisa eti saiz wanapumulia mashine kwenye penalty Click to expand... Na wametolewa
mbwangali said: Ila mpira bana😃😃 kule Lazio walikuwa wanaongoza kwa uhakika kabisa eti saiz wanapumulia mashine kwenye penalty Click to expand... Na wametolewa
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,969 Reaction score 5,104 Apr 18, 2025 #205,935 K A R A F U U said: View attachment 3307773 View attachment 3307774 Lazio na Liverpool na laana ya nafasi ya kwanza Click to expand... Kwakweli kilichowakuta Lazio 😃😃 Leo watalala midomo na macho wazi
K A R A F U U said: View attachment 3307773 View attachment 3307774 Lazio na Liverpool na laana ya nafasi ya kwanza Click to expand... Kwakweli kilichowakuta Lazio 😃😃 Leo watalala midomo na macho wazi
mbwangali JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 2,969 Reaction score 5,104 Apr 18, 2025 #205,936 Castr said: Na wametolewa Click to expand... That's why I love football
C Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 37,186 Reaction score 73,985 Apr 18, 2025 #205,937 Both teams were shit but United showed heart and kept believing to the end. Kwa channel niliyokua naangalia mpira mtangazaji alikua anasisitiza jinsi gani united kutolewa ingemaanisha a blow kwenye finance. Ilikua kama vile wanasikia hawa jamaa. They kept going.
Both teams were shit but United showed heart and kept believing to the end. Kwa channel niliyokua naangalia mpira mtangazaji alikua anasisitiza jinsi gani united kutolewa ingemaanisha a blow kwenye finance. Ilikua kama vile wanasikia hawa jamaa. They kept going.
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Apr 18, 2025 #205,938 We are the famous Man Utd
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,297 Apr 18, 2025 #205,939 Walete Bilbao hao
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Apr 18, 2025 #205,940 Castr said: Hii mechi ilikua ni vichaa wawili wanapigana Click to expand... Bora umegundua hilo. Ili uwe bora, ili ushinde makombe makubwa ya Ulaya (arse8 hajawahi kushinda) kuna wakati inakubidi uwe kichaa, tena kichaa kweli kweli.
Castr said: Hii mechi ilikua ni vichaa wawili wanapigana Click to expand... Bora umegundua hilo. Ili uwe bora, ili ushinde makombe makubwa ya Ulaya (arse8 hajawahi kushinda) kuna wakati inakubidi uwe kichaa, tena kichaa kweli kweli.