Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndo hivyo hatukuwa na usajili mzuri, na timu yetu ndo hiyo tujipange msimu ujao wa ligi!

UCL mtakuja kuiona msimu wa 2015/2016...endapo mkifanya usajili mzuri na kocha wenu abadilike kiufundi au mlete kocha mwingine.
 

18 years...
 
Poleni sana watani!!Dah ulaya ndio basi tena, Lakini jaribuni kusubiri uenda Arsenal akawafuata maana League bado
 
Daudi Moyes anakazi kubwa sana ya kubadilisha mbinu zake.

Anaacha kufanya mabadiliko mapema

Man utd wanahitaji viungo wawili wa maana wenye uwezo wa kukaa na mpira mguuni
 
pole zetu...we got what we deserve! Evra pamoja nakufunga cracker ametucost sana na hili nililiona hata kabla ya mechi
tumefunga goli linarudishwa baada ya dakika tatu!thats schoolboy error in big stage1
rooney sijui kala nini he had an offday!

Bayern were there for the taking!naamini wangekuwa Chelsea wangeshinda hii mechi,Bayern aint that good we just did some stupid errors time and time again!to concede a goal right after you score a potential semifinal clincher is unacceptable at this level!

against timu zenye akili tumefungwa 3 au zaidi hii inaonyesha wazi tupo chini ya kiwango kinachotakiwa kushindana kwenye championships either ECL or EPL.....MOYES can still do the if he gets players who will work hard for him right now in our squad only a handful play for him others are just not interested

ni maoni yangu tu.

all the best atletico and real madrid im right behind you
 
Kama Liver wakibeba kombe EPL msimu huu haya matokeo yatamuumiza sana Fergie
 
Goli la Evra tamu (nadhani ni goli bora la mzunguko huu/QF). Naona linarudiwa rudiwa sana kwenye French channel.
 
Hapa mtu akajua keshamaliza kazi
 

Attachments

  • 1397078203388.jpg
    44.9 KB · Views: 56
Muda haukupita saana...
 

Attachments

  • 1397078283167.jpg
    51.4 KB · Views: 54

Bora wewe umeona pia...Evra ni liability, goli alilofunga ni GOLAZO na limewasahaulisha watu...Buttner alikuwa na gemu nzuri sana OT, alimweka Robben mfukoni...leo goli za 2 na 3 zimetoka kwa Evra!!

Rooney hakuwa fit 100% hivyo hakupaswa kucheza muda wote...amekosa nafasi tatu za kufunga...alipaswa atolewe kwenye dakika ya 70...

Kweli, nami pia naamini tukipata wachezaji kama wanne hivi, basi mambo yatakaa poa...DM ama kocha yeyote, basi United itarudi...siyo mbaya kuchukua likizo kidogo kwenye UCL...

Ila leo DM alichelewa sana kufanya sub...yaani baada ya Buyern kusawazisha tu, basi pale pale Chicha na Januzaj wangeingia..na Rooney na Welbeck kutoka...sasa akachelewa sana kufanya sub...

Anyway...nimeridhika na matokeo...hakuna visingizio, Buyern wamestahili kwenda...wala sumu waliamini United tutafungwa goli 10 hivi...kumbe wapi...na walitamani kweli iwe hivyo...Buyern walimpiga goli 7 Barca msimu jana...kufungwa 4-2 kwa jinsi timu yetu ilivyo mbovu sasa, lazima nitembee kifua mbele, kichwa juu.

I am in love with #ManUnited
 

Nakuunga mkono hata mimi sikuona ubora wa bayern ni nyinyi kukosa umakini tu!!Rooney anakosa goli ndani ya sita tena akiwa Unmarked. Dah....Bayern Bomu kabisa haina mbinu, nusu mwsho wake, timu inatafuta goli dk zaidi ya 45
 
No Caption...khekhekhe...khe khe khe khe khee...eeee
 

Attachments

  • 1397078383823.jpg
    38.3 KB · Views: 62
Muda haukupita saana...

Vipi, ubingwa mnachukua?!?

Mabingwa wa mdomoni bana...

Umepotea kule kwenu...unaleta maneno mingi hapa..

Nasikia the specialist in failure amepewa mkataba mpya wa miaka 4 na keshasaini...
 
all in all i think bayern is overated...Man u have them selves to blame kwa kushindwa kufika semi..a lot of clear chances wasted both at OT na Alianz ..
Altetico wanaweza kufanya yaliyofanywa na porto 2004
 

uko spot on.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…