Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kocha hana mpango na kuchukua kombe kasema watu mfikirie vitu vya msingi. Matokeo yake punda za humu zinaogopa hata kujichomoza
 
🤔🤔🤔
 

Attachments

  • Screenshot_20250306-231347.jpg
    327.1 KB · Views: 10
Safari ya phil foden ndio imeishia hapa, sidhani kama atasogea tena juu kiuwezo.
Kama kawaida yao Waingereza, mwendo huwa wanaumaliza mapema sana wanabaki kutembelea historia tu.
Na club yoyote ili iwe na mafanikio kwa zama hizi, hawa jamaa ni wa kuwaweka mbali kabisa au wawe squad players na sio starters.
Wanalewa sifa haraka mno siku hizi. Angalia saga la man utd na dogo Mainoo kwenye kuongeza mkataba.

Media zao zinawaharibu sana kifikra.
 
Ingekuwa ni Tanzania tungefanya kama Simba janaaa..🤣🤣🤣🤣 Maana leo arsenal wabovu ila watajiliaaa utamu hapa kirahisi sanaaa.
 
Man united leo tunamla asenyani pale pale OT kama kawaida yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…