Jana Maino kachezeshwa namba 10, kocha anasema atamjaribu maino kama namba 10 kwasababu ni mzuri technical, anadai akicheza kiungo uwa anapata shida sana difensively
Sijui makubaliano yao kimkataba yakoje ila namuonea huruma Amorin na huu uongozi mpya wa United. Tunauza ila kusajili ni under age ambao sioni wakiingia kwenye kikosi cha kwanza hivi karibuni.
Any way, sasa moyo wangu una amani baada ya Rashford kuondoka pale matofalini.
Tujenge timu sasa.