Kumbuka bado ana miaka 20 tu na wachezaji wengi wanakuwa peak wakifika mid 20s. Salah (Chelsea), KDB (Chelsea), Fernandes (Sampdoria), Gyökeres (Brighton), hawa wote walionekana wachezaji wa kawaida kwenye hizo timu lakini wameweza kufanya makubwa kwenye career zao mpaka sasa.