Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,381 Jones...
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,382 Dah! Rooney pale alimbwela nini sijui!!!
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Apr 9, 2014 #20,383 Jones ni mzuri sana atatusaidia sana. lakini katikati hapo kuna shida sijui felaini leo yuko wapi. Nzi said: Goma zito hili arifu... Ila ni ukweli usiopingika kwamba watu walijua hii tie ingeisha game ya kwanza...lakini wapi... Click to expand...
Jones ni mzuri sana atatusaidia sana. lakini katikati hapo kuna shida sijui felaini leo yuko wapi. Nzi said: Goma zito hili arifu... Ila ni ukweli usiopingika kwamba watu walijua hii tie ingeisha game ya kwanza...lakini wapi... Click to expand...
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Apr 9, 2014 #20,384 Barca weshaloweshwa
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,385 Hawa jamaa ni kama wamepaniki...inabidi tuwadungue kimoja kabla hawajatulia..
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,386 ARV said: Jones ni mzuri sana atatusaidia sana. lakini katikati hapo kuna shida sijui felaini leo yuko wapi. Click to expand... Fletcher yupo poa sana...yeye anaweza kupeleka mipira mbele kuliko Fellaini...kitu ambacho kinahitajika leo...
ARV said: Jones ni mzuri sana atatusaidia sana. lakini katikati hapo kuna shida sijui felaini leo yuko wapi. Click to expand... Fletcher yupo poa sana...yeye anaweza kupeleka mipira mbele kuliko Fellaini...kitu ambacho kinahitajika leo...
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,387 Ila sijapenda Evra kuanza badala ya Buttner...babu Robben atamsumbua sana...
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,388 Valenciaaaaa...oh, offside..
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Apr 9, 2014 #20,389 valenciaaaaaaa aghhhhhh eti offside
C COCKINGTON JF-Expert Member Joined Oct 16, 2013 Posts 222 Reaction score 59 Apr 9, 2014 #20,390 White pele yupo ndani leo
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,391 Inabidi Januzaj aingie ili kuongea usumbufu kwa mabeki...Welbeck anawasumbua sana...tukipata mkata upepo mwingine itakuwa poa sana...
Inabidi Januzaj aingie ili kuongea usumbufu kwa mabeki...Welbeck anawasumbua sana...tukipata mkata upepo mwingine itakuwa poa sana...
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,392 21st min...still 0-0 today..
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,393 Corner for Bayern...25th min
D duanzi JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 16,428 Reaction score 225 Apr 9, 2014 #20,394 Kigogo said: Barca weshaloweshwa Click to expand... bora watolewe kabisa ..hawana.lolote ni marefa tu wanawabeba
Kigogo said: Barca weshaloweshwa Click to expand... bora watolewe kabisa ..hawana.lolote ni marefa tu wanawabeba
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Apr 9, 2014 #20,395 hapo sawa.moyes huwa hajui sub za haraka haraka. Nzi said: Inabidi Januzaj aingie ili kuongea usumbufu kwa mabeki...Welbeck anawasumbua sana...tukipata mkata upepo mwingine itakuwa poa sana... Click to expand...
hapo sawa.moyes huwa hajui sub za haraka haraka. Nzi said: Inabidi Januzaj aingie ili kuongea usumbufu kwa mabeki...Welbeck anawasumbua sana...tukipata mkata upepo mwingine itakuwa poa sana... Click to expand...
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,396 Vida given a yellow...27th min...stupid referee's decision..
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Apr 9, 2014 #20,397 abakorakamo said: bora watolewe kabisa ..hawana.lolote ni marefa tu wanawabeba Click to expand... Hahaaaa barca safari leo
abakorakamo said: bora watolewe kabisa ..hawana.lolote ni marefa tu wanawabeba Click to expand... Hahaaaa barca safari leo
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,382 Reaction score 10,951 Apr 9, 2014 #20,398 Ribery kamkimbia Jones....
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,287 Apr 9, 2014 #20,399 ManU mnaruhusu kuchezewa nyuma. ..hatareee sana hii
Sizinga Platinum Member Joined Oct 30, 2007 Posts 9,519 Reaction score 7,287 Apr 9, 2014 #20,400 Nzi said: Fletcher yupo poa sana...yeye anaweza kupeleka mipira mbele kuliko Fellaini...kitu ambacho kinahitajika leo... Click to expand... Sitegemei visingizio vyovyote kwenye hii mechi
Nzi said: Fletcher yupo poa sana...yeye anaweza kupeleka mipira mbele kuliko Fellaini...kitu ambacho kinahitajika leo... Click to expand... Sitegemei visingizio vyovyote kwenye hii mechi