Nyumbu game ya leo inabidi mjiandae kiisaikolojia na muwe wapile sana.
Yatakua makosa makubwa sana kumpima Amorim katka game ya leo
Viwango vya wachezaji wenu kwenye game ya leo, haitakua kipimo sahihi kuwajaji, rashford anakua muhanga sana
Amad ni mchezaji mzuri sana lakin sio kwa game ya leo
NB
Mkitaka kupisha, hivi ndio tutakua tunatembea. Na kama mnavyojua hamna kipa golini
View attachment 3168676