Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Niliombea EtH abakishwe sio sababu namuelewa sana ila kwa kuwa replacement yake ingetuchukua muda mrefu zaidi kumtimua tofauti na yeye ni wa kuhesabiwa mechi tu, Boom!!!
Ni Kocha wa hovyo sana...yule alisema ni jasusi la uholanzi hakukosea. Haiwezekani kila usajili wake ni Mholanzi au awe amepitia Ajax.
 
Pale ukikutana na saizi yako
 

Attachments

  • Screenshot_20240917_231633_All Football.jpg
    441.7 KB · Views: 12
Let's build the momentum
They will never see us coming

ETH ni km anaanzia chini kwenda juu au Bado simuelewi?
Nataka game tano mbele nijue na nimuhukumu binafsi na upeo wangu Kwa reason ambazo ni realistic.

ETH just follow the path.

January sajili kama mbili then INEOS wataamua
 
Sasa nmeanza kuelewa kwa nini ETH aliamua kuleta wachezaji hasa mabeki aliofanya nao kazi Ajax yaani kwa mara ya kwanza ndani ya miaka mengi naangalia mpira bila pressure kwa uchezaji huu hata tukifungwa siwezi laumu tajua ni bahati mbaya. Kipa wa Palace kafanya kazi ya ziada hadi sasa.
 
Daaah hii game ilitakiwa tuimalize mapema sana kipindi cha kwanza, kwa hizi nafasi tulizopata na hizo kosakosa napata wasiwasi huenda hii mechi tukaimaliza kwa maumivu makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…