Hii timu ni ya kufanya biashara tu wako kibiashara. Hapo wamewadanganyia watu na kombe la FA basi wametulia na biashara zinaendeleaHivi hawa watu wako serious kweli hawa?
Tunaoteseka ni sisi mashabiki๐คฃ๐คฃ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบHii timu ni ya kufanya biashara tu wako kibiashara. Hapo wamewadanganyia watu na kombe la FA basi wametulia na biashara zinaendelea
Huyo dogo Mainoo hata mimi namuona bado sema yupo kwenye timu mbovu ndio maana ana onekana