Exogenous Factor
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 1,427
- 2,414
๐๐๐๐Hivi hawa watu wako serious kweli hawa?EVANS anaongezewa tena mkataba ebhanaeee
Tufurahie kuangalia mpira tuu aisee๐๐๐๐Hivi hawa watu wako serious kweli hawa?
Watu kama hawa Wana umuhimu wao wanapohitajika.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hawa watu wako serious kweli hawa?
Hii timu ni ya kufanya biashara tu wako kibiashara. Hapo wamewadanganyia watu na kombe la FA basi wametulia na biashara zinaendelea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hawa watu wako serious kweli hawa?
Tunaoteseka ni sisi mashabiki๐คฃ๐คฃ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบHii timu ni ya kufanya biashara tu wako kibiashara. Hapo wamewadanganyia watu na kombe la FA basi wametulia na biashara zinaendelea