Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani mnatujaza kabisa tena tuchukue Scamacca dah 😄
 
Yaani mnatujaza kabisa tena tuchukue Scamacca dah
Watu hawamuoni Artem Dorbyk Ila wanamuona Scamaca.

Scamaca na Lautaro Martinez nenda kwa Lautaro atakupa magoli 15 ya ligi kwa Msimu ila atakupa impact kubwa sana uwanjani.

Mpaka leo mashabiki wa United hawajapta jibu kwanini Rashford aliperform vizuri January 2023 hadi mwisho wa msimu wanashindwa kusema kuwa Weghorst alimfungua Rashford kwa sababu Weghorst hakuwa kipenzi chao.
 
Leo anakufa MTU Goli nyingi Man City ana hasira mbaya za kutaka kulibeba NDOO kiroho mbaya kwa HIO wadau wa Mwamtesa United KAENI mkao wa kipigo
 
Kikosi Cha Bwenyenye Sir Jim kimeshuka kimetoa ahadi lazima kombe liende OT.

Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha 😁😁😁

My prediction
Manchester City 1 VS Manchester United 3

watapigwa Sana wale 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…