Bora tumchukue maino awe backup ya RiceTuuzieni kwa aftatu hyu jamaa...sisi atatufaa...maana tunasifika kwny kufufua mikweche
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Every player!!!!Bodi imeamua huko
Wameshashtukia mchezo....kwa ile michezaji walikuwa hawatoboi kwnda kokote kule[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Every player!!!!
GanarchoWameshashtukia mchezo....kwa ile michezaji walikuwa hawatoboi kwnda kokote kule
Mimi nilikuwa na uhakika hawatagusa UCL. Tatizo ni wanaweza kubahatisha kuingia Europa.[emoji599] 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Manchester United will 𝐍𝐎𝐓 play Champions League football in the 2024/25 season, as it's now guaranteed after Aston Villa’s result.View attachment 2977472
Kupatikana kwa jezi
Hawa ndio wangecheza na madrid leo nusu fainali🤔🤔🤔🤔🤔Maana halisi ya comment ya hapo juu, ni hii picha hapa chini[emoji116]View attachment 2977458
hahahaGanarcho
Maino
Ukiachana na hao waliotajwa hapo juu, waliobaki wote HAWANA VIPAJI na HAWAFUNDISHIKI
Chuchunge Fc wakishinda mechi mbili, tatu wanakua na midomo kwelikweli halafu wakigongwa game moja wanapotea wote.
Walivyogongwa na Villa walitulizana kama vile wapo kwenye eda
wamebahatisha mechi mbili false hope ya ubingwa imewarudia yaani hatupumui, Tukisha wagonga OT ndio mtapotea moja kwa moja mpaka msimu ujao dirisha la usajili likifunguliwaView attachment 2978216
Ili usajiriwe arsenal, kwanza uwe the gunner au uwe na mapenzi na timu
Pili uelewe project na uwe tayari kufia uwanjani kwa ajiri ya timu
Look at this, alipoulizwa kuhusu kuwa sehemu ya squad ya nyumbu[emoji116][emoji1751]View attachment 2978531