Brentford ana touches 85 ndani ya box la manjesta
Ina maana kila baada ya dakika 1 jamaa walikuwa wanafika ndani ya box la Manjesta,
Hii ni hatari sana
Wanasema ni record kwa kipindi hiki cha miaka mitano
Imagine hii timu ya aina gani ,ni mbovu kiasi gani
Kila dakika upo golini kwao
View attachment 2949598