Hawa Manunu hawatachukua hili kombe🤠🤠... officially Man City anabaki na kombe lake...Bora Livakuku wamechinjwa...maana shingo zilishazidi vichwa Hawa kuku
Hawa Manunu hawatachukua hili kombe🤠🤠... officially Man City anabaki na kombe lake...Bora Livakuku wamechinjwa...maana shingo zilishazidi vichwa Hawa kuku
Sasa wamesababisha Klopp asepe na ki Carabao cup tu. Akijitahidi sana labda Europa. Premier League wababe wa ligi a.k.a ze ganaz tumesharudi kumwaga mchanga kwenye pilau. Bado Mamacita naye anataka kuja kupiga teke sinia kabisa. Hebu tusubiri tuone itkavyo kuwa.