Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo utamsingizia tu Onana kama goal la pili ni ujinga wa bruno
Kweli aliwapa jina Man U la nyumbu hakukosea,unafingwaje kizembezembe hivi,humu hamna timu ya mpira ni genge la wauni kama wakiendelea hii timu itawachukua miaka 100 kichukua kombe kubwa la heshima kama UEFA na EPL na uropa,wachezaji wako goigoi utafikiri wote ni Islamic wamefunga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…