Kambwala, FORSON, AMAD,
Hadi sasa kwa mpira wetu ule tunaocheza hata tukishinda unaona ni bahati zaidi ya uwezo, kitu ambacho hutegemei kukipata kila mechi.
Kwetu msimu umeisha ila tuna furaha na tajiri mwembamba ameonyesha kulifahamu tatizo la msingi la timu yetu kwa mujibu wa wengi miongoni mwetu katika majukwaa mbali mbali. Na nia ya kulimaliza pia ameonyesha. So, tuwape vijana nafasi wafurahie soka lao mbele ya watazamaji wa Old Trafford