Manati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manati

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Aug 7, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Umenikumbusha wakati Upanga lilikuwa pori la karibu kutokea Mchafukoge! Mbezi beach ilipokuwa shamba la Mkonge na watu wakienda kuwinda swala na digi-digi. Si zamani sana ni 60's tu!
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160

  Mkuu kama unakumbuka, Kinondoni yote ilikuwa Mashamba, Ubungo ndio pori kabisaaa, Mkuu kweli una memory kubwa sana.
   
 4. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,009
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Manati imetulia sana hiyo. Naweza kununua kwa bei yoyote ile.
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,485
  Likes Received: 806
  Trophy Points: 280
  vitoto vinawish vingekua vikubwa
   
 6. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 1,468
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Kumbe ninyi ni watu wazima hivi?
   
 7. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,644
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  umeona zomba kasema si zamani sana ilikuwa miaka ya 60's tu....hahaha yaani miaka ya 60 si zamani?
   
 8. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #8
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ha haa haaa.. mshkaji kanukumbusha mbali sana. Kweli watoto wa .com wanakosa mengi. Nakumbuka ulikuwa ukipiga ndege inapaka damu kwenye ncha za vipago eti ni zindiko la shabaha. Kaptula zote zilikuwa zinatoboka mifuko kwa ajili ya kuweka mawe.
   
 9. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #9
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hii ni tasa (red gum) sio poto!
  Hapo songoro moja tu mbuku hapumui.
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Shida yote ya kulenga ya nini?
  We weka ulimbo kwenye tawi wanalopenda, na kumbikumbi wazima, ushanasa kitoweo!....lol!
   
 11. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #11
  Aug 7, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duuuuh, nilidhani JF ina vijana wengi kumbe vikongwe watupu.
   
 12. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #12
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,906
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Mara ya mwisho nilipotengeneza hii kesi yake ilikuwa ya nguvu maana niliharibu kiatu cha Babu nipate kipande cha ngozi kukamilishia mtambo wangu:)
   
 13. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #13
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,778
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mbonyi tsafo Kileme!
   
 14. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #14
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,865
  Likes Received: 6,361
  Trophy Points: 280
  Dah...memories..ingawa mm sio wa juzi (60's) ila tulitumia sana manati...jamani dem gud old days...
  by Mtoto wa jana (80's).
   
 15. peri

  peri JF-Expert Member

  #15
  Aug 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  lol, kweli wewe ni mbuzi mzee,
  kama 60's sio zamani wakati mie wa 80's najiona wa enzi.
   
 16. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #16
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,930
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  hii manati itakuwa sio nzuri hayo mapira hayavutiki sana nayajua hayo tangu enzi zetu
   
 17. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #17
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Kaka nimekosa kibatan cha like,lakini kwenye ulimbo umeongea.Mimi kipindi cha manati sikuwa na shabaha kabisa basi nikawa natega ulimbo wangu wanaponywea maji.Nilikuwa nawakamata hata mwenye manati hanifikii....
   
 18. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #18
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka enzi hizo, Dogo m1 aligeuza na kuvuta kigozi mbele..kilichofata hapo kila mtu alielekea upande wake kw kukwepa ushahidi.
   
 19. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #19
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,898
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Kama vile tulikuwa wote kuwinda ndege
   
 20. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #20
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nashicha meku Mosha, amba mbonyi
  Nomle mbuku inu?
   
Loading...