Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,563
- 7,321
Toka miezi kadhaa tangu alikiba kuambiwa ni mbana pua na Master Jay, voice note zilizovuja zimeonesha Manara akigongelea msumari kuwa Alikiba ni mbana pua tu.
Inaonekana Alikiba ana maadui wengi sana, ni kama vile kipindi kile Diamond alivyokuwa na maadui wengi. Utofauti wa Alikiba na Diamond, Alikiba alazagi damu na uwa ana panick mapema, Diamond ni mtulivu na uwa anasubira
View: https://youtu.be/4Tdo9kbRzxI