Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,303
- 18,454
Unamuonea, huyo ni MZARAMOZE LA HOVYO , SEMA SEMA HOVYO , ROPOKA ROPOKA HOVYO , HOVYO HOVYO
Usishangae anakugeukia wewe, amemkosa ZuchuπAiseeeeeee tatizo sipo posa tatizo je angekubaliwa? Sijui anajiona nani vile kudandia kila kitu
Wacha kudhalilisha wazaramo.Huyo ni mmanyema wa Kigoma.Unamuonea, huyo ni MZARAMO
Usishangae anakugeukia wewe, amemkosa Zuchuπ
Uzi umechangamka sana huuππππUkute unaitamani hio chance. Atakuoa wewe mkuu
BugattiAkizungumza na waandishi wa habari kwenye usiku wa mwanadada Yammi, Haji Sunday Manara amesema kama Diamond angechelewa kumuoa Zuchu basi yeye angeenda kutoa posa kwa Bi Khadija Kopa ili amuoe mwanamke huyo.
View attachment 3356409
Hapana mkuu, mimi huwa naoa wanawake sio madume.πUkute unaitamani hio chance. Atakuoa wewe mkuu
Hapana mkuu, mimi huwa naoa wanawake sio madume.π